D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
nashukuru Sana waheshimiWakaribu hakuna ukaguzi wa vyeti!
thanks im happy to reply your commentWelcome
yaan ukarimu ni moja ya vitu nilivyowapendea watu wa JF ahsante mkuu asigwaKaribu sana aseee.
Una bahati nimeuona uzi wako huu, kwa bahati hio nakuzawadia cheo cha ukuu.
Kuanzia leo ukiona mtu anakuita mkuu K Ni K , we elewa tu ni mimi ndiye niliyewaruhusu.