Mgeni mwenyeji

Hivi Zainabu002 Bado Hujanipenda Tu?😀😀😀
Bado ndo naanza kufikiria ila nikiangalia avatar yako,nahisi inaendana nawe una sura ya kuitwa baby kabisa

Sema watoto watakuwa na vichwa vichafu sana ndo maana nimesitisha kupenda,nitafute kwanza mbinu ya usafishaji kwanza

Kati ya omo,Takasa au sabuni ya magadi.
 
Hivyo Vi-lips Ndio Vinaniua Kabisa.

Ondoa Wasiwasi Bibie Watoto Watafata Kwa Mama Na Ulivyo Vizuri Kwahiyo Hakuna Shida
 
Zainabu [emoji137]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habarini wakuu(in wenyeji voice) nimekuwa nikiperuzi humu tangu miaka mitatu ilopita na leo nimeona niingie rasmi.naombeni ukarimu wenu jamanii cc shunie demiss hajari Madame b na wangineo
Umekuja na ID mpya kisha unaji cc; wewe mwenyewe!!
Umejulikana kwa hii thd tu,hata muandiko ni ule ule tu!
Ama kweli Tembo hajifichi kwenye shamba la tembele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…