Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Nov 13, 2009 #1 hello wanaJF,nami nimekuwa humu kwenye forum kwa muda kidogo kama miezi kadhaa hivi,lakini sikuwa nimejitambulisha,but nilikuwa nachangia mada kama kawa,so najitambulisha rasmi kwenu, asanteni
hello wanaJF,nami nimekuwa humu kwenye forum kwa muda kidogo kama miezi kadhaa hivi,lakini sikuwa nimejitambulisha,but nilikuwa nachangia mada kama kawa,so najitambulisha rasmi kwenu, asanteni
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 180 Nov 13, 2009 #2 Haya bana .....karibu...though ulishaanza kula bila kunawa!