SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Jamani msinishangae sikujua kwamba kunasehemu ya kupiga hodi mimi niliingia tu bila kukaribishwa ndo maana mimi nimekosa wenyeji wakinielekeza namna ya kutumia hii forums.Basi nimeona vema nijitambulishe humu ili nipate kufahamika ili nisiulizwe maswali mengi huko niendako.Mimi naitwa SAYANSIKIMU kabila langu ni MGOGO nimezaliwa mwaka 1992 niko SINGLE ni MKRISTO .Ni mtu mpole,mvumilivu na nina huruma sana na huwa naumi sana nionapo watu wanapigwa ban.Huu ndio wasifu wangu.Naombeni mnipokee.Msipo nikaribisha basi itabidi niondoke. ingawa niabu sana kupiga hodi bila kukaribishwa.