Leo Tu umeanza kuulizia Kiswahili? Utapata shida sanaHakuna maelezo ya Kiswahili.
Mbona umenuna sana mkuu, au sababu jamaa amegoma kuongeza hata kumiHio hapo.View attachment 784634
Inaelekea ulikula sana malimao wakati ukiwa mtoto.Ndio sura yangu
karibu sana.Asante.
Nipo Chato