Mgeni Naomba kupokelewa

Ndugu zangu. Ninayo furaha kujiunga rasmi kwenye hili jukwaa langu pendwa. Nitashukuru kwa kupokelewa humu ndani.
Wee mgeni gani wakati unajisema hili ni jukwaa lako pendwa? Umebadili ID
 
Wee mgeni gani wakati unajisema hili ni jukwaa lako pendwa? Umebadili ID
Hapana kiongozi sikuwa nimejiunga Ila nilikuwa nasoma tu mambo ya humu. Kwa sasa nimeamua kujiunga rasmi
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…