Mgeni naomba mnikaribishe.

Karbu sana ataivo nimekusubir sana maana wewe ni muoga sana nimekwambia tujiunge ukasema unaogppa mbna sasa umekuja.

Ila karbu jukwaani mamy
 
Karbu sana ataivo nimekusubir sana maana wewe ni muoga sana nimekwambia tujiunge ukasema unaogppa mbna sasa umekuja.

Ila karbu jukwaani mamy
Nimekata shauri nimeamua kuja[emoji5][emoji5][emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…