Mgeni naomba mnikaribishe

Joined
May 11, 2020
Posts
8
Reaction score
3
Wadau napenda kusema hodi hapa jamvini, mimi ni mmgeni wenu, lakini si mgeni wa jamvi la jamii forum, nilikuwa napata yote ya jamvini kwa kupitia njia nyingine.

Kwa maana kusoma kwa kubrowse bila kuwa na akaunti ya hapa jamvini. Sasa rasmi nimejiunga nanyi kuendeleza kugurudumu la kupashana habari. Natanguliza Shukrani.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
aaaahhhh mnyalu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…