Mgeni naomba ukaribisho

kisimbigile

Member
Joined
Feb 23, 2023
Posts
11
Reaction score
9
Hello,

Nashukuru kwa nafasi ya kujiunga JF. Nimekuwa ndugu msomaji na mtazamaji nikielimika na kuwa mnufaika wa makala maridhawa za forums mbalimbali pasi na kuwa member rasmi.

Hopefully hii itakuwa hatua muhimu pia kunifikia na kuwafikia.

Naomba mpokee utambulisho.
 
karibu sana ndani ya into the Badlands sawa mdogo wangu?usishangae shangae kamata chura tongoza kula mzigo ndio muhimu humu ndani usirembe...
Bro mbona msisitizo umekuja ghafla...well asante kwa ushaurk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…