Mgeni nikaribisheni JF

Mgeni nikaribisheni JF

Last edited by a moderator:
Karibu mkuu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hi!
Baby say hi? Nakupa tabasamu pale unaponipa h! Masela na mademu punguza nishai........
 
hi!
Baby say hi? Nakupa tabasamu pale unaponipa h! Masela na mademu punguza nishai........
Stop
Let’s go

Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
Yoh
Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi

D-U-L-L-Y-S-Y-K-E-S (Dully Sykes)
Maliza na misifa kwenye ladha mi natisha
Ilala, Kariakoo kote mi nawakilisha
Hi, hi, mi napewa hi
Tena bila shy nao wananipa hi
Ninaposema ‘hi’ namaanisha ‘hi’
Masela ndani ya nyumba mi nataka mfurahi
Wengine wanadai eti mimi sifai
Eti wanasema Dully mimi najidai
Ama kweli ng’ombe wa masikini hazai
Hata hivyo mimi bado ninawapa hi
Inapopigwa “Handsome”, club mi sikai
Nakwenda kuicheza wala mi sioni shy
Candy, Kelly, Scola, Nora, Zai
Mademu wa kibongo wote wananipa hi
Yoh

Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
Yoh
Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
Yoh

Kabla sijaimba walininyima hi
Sasa ninaimba wote wananipa hi
Katika kambi yetu mnafiki hafai
Tutampa kipigo mpaka mwisho azirai
Hallo Bill Gate, kumbuka nakudai
Ile bilioni kumi haina masilahi
Ukimuona Venture au DJ Makay
Wape pesa yangu wailete Osterbay
Psipsipsi, njoo Dully Sykes
Ukipenda we niite mzee wa mikasi
Nitambulishe demu wako we unione nuksi
Jaribu siku moja ili unipe kesi
Kwenye 18 huwaga mimi ni mikosi
Ninapolenga kitu siku zote mi sikosi
Hebu nitambulishe fasta wacha ku-delay
Natongoza yeyote hata kama mmasai
Na nikimpa hi nae ananipa hi
Na mwanzo wa hi mwisho wake huwa bye, yeh

Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
Yoh
Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
Yoh

Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
Yoh
Hi, baby say hi
Naomba tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama uko ovyo, punguza nishai
Masela na mademu ndani ya nyumba say hi
 
Back
Top Bottom