Mgeni nikaribishwe

Mgeni nikaribishwe

Joined
May 29, 2022
Posts
51
Reaction score
100
Hodi! Mimi mgeni humu ndani naomba nikaribishwe. Nimekuwa nikifuatilia JF kwa juu juu na sasa rasmi nimeamua kujiunga ili kushiriki na tuendeleze umoja na mshikamano wetu kama waTanzania [emoji1754]
 
Karibu. Unless umeamua kuchekesha ila avatar yako ina typo neno sahihi la kiswahili ni mpelelezi labda hiyo mpererezi ina maana huko kwenu ila karibu sana JF wenyeji tupo na huku kuna utawala ni kijiji chenye wenyewe
 
Wakati najisajili ilikuwa ni usiku sana na nilikuwa na usingizi mbaya zaidi nilikosa jina zuri la kujiita nilifikiria sana hadi usingizi ukawa ni kama unanitaka nilale nikaona wacha niandike vyovyote tu ikatokea kama hivyo...

Lakini yote kwa yote kikubwa nimepata account
 
Back
Top Bottom