Kijana Mpererez
Member
- May 29, 2022
- 51
- 100
GT una maanisha?Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Great Thinkers.GT una maanisha?
AsanteGreat Thinkers.
Karibu. Unless umeamua kuchekesha ila avatar yako ina typo neno sahihi la kiswahili ni mpelelezi labda hiyo mpererezi ina maana huko kwenu ila karibu sana JF wenyeji tupo na huku kuna utawala ni kijiji chenye wenyeweHodi! Mimi mgeni humu ndani naomba nikaribishwe. Nimekuwa nikifuatilia JF kwa juu juu na sasa rasmi nimeamua kujiunga ili kushiriki na tuendeleze umoja na mshikamano wetu kama waTanzania [emoji1754]
Nimekaribia mwanenuWelcome in mwenetu
Wakati najisajili ilikuwa ni usiku sana na nilikuwa na usingizi mbaya zaidi nilikosa jina zuri la kujiita nilifikiria sana hadi usingizi ukawa ni kama unanitaka nilale nikaona wacha niandike vyovyote tu ikatokea kama hivyo...Karibu. Unless umeamua kuchekesha ila avatar yako ina typo neno sahihi la kiswahili ni mpelelezi labda hiyo mpererezi ina maana huko kwenu ila karibu sana JF wenyeji tupo na huku kuna utawala ni kijiji chenye wenyewe
Mgeni unaingia ugenini na mipasho!!!Lakini yote kwa yote kikubwa nimepata account
Ilikuwa ni saa 10:36 almost saa 11 alfajiri, kumekucha kabisaWakati najisajili ilikuwa ni usiku sana