Mgeni ningependa msaada wenu niitajipo

Kwa faida ya wengi tujulishe umri, kazi yako, benki una sh ngapi, una magari mangapi, una nyumba ngapi mjini, michepuko mingapi, uko chama gani, wee mwanaume wa Dar au mkoani, una vyeti?
 
Hahahaha iyo ngumu balaa lakini kiufupi mm ni mwanafunzi wa chuo na ni Entrepreneur pia nina miaka 23
 
Kwa faida ya wengi tujulishe umri, kazi yako, benki una sh ngapi, una magari mangapi, una nyumba ngapi mjini, michepuko mingapi, uko chama gani, wee mwanaume wa Dar au mkoani, una vyeti?
hahaaa we Clueless wewe sio kwafaida yako tu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…