mgeni njoo mwenyeji apone

karibu sana JF MJUKUU wetu hapa heshima mbele................
 
Pamoja washimiwa nimekubali kweli jf wakarimu mapokezi yenu najiona niko nyumbani, tatizo hata kahawa hakuna! Haaahaaaa,
 
Mtu alinielekeza nyumba hii kaniambia kuna warembo waukweli lakini kila nina kutana nae anamidevu kama hosama au umewafungia vyumbani na funguo mme zimeza? Msifanye hivyo cc wote ni ndugu jamani vizuri kula na nduguyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…