muulie dada usije kuta matumizi yake sawasawana serikali ya jk ndimo maana jamaa anapiga mahesabu
jamaa ni mwalimu na mara nying ikifika karibia na mwisho wa mwez ndo huwa na juhud bt katikat kimya kinakuwa kingi, ndo mana dem haelew je ni ukata au?
demu ,manzi, utoto huu upuuzi mtupu
Labda alikuwa anabeep tuinaonekana men hayupo serious