chotarasukari
Senior Member
- Jan 6, 2013
- 110
- 23
habari za humu ndugu zangu. nipo hapa kwa mara ya kwanza lengo ni kujifunza na kuelimishana ili nielewe vingi nisivyo vifahamu. "pamoja tunaweza"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu sana. Tupo pamoja
Karibu sana JF, jisikie upo nyumbani
Karibu sana JF.
Karibu sana jF
habari za humu ndugu zangu. nipo hapa kwa mara ya kwanza lengo ni kujifunza na kuelimishana ili nielewe vingi nisivyo vifahamu. "pamoja tunaweza"
Karibu na kama una kaujuzi kadogo usisite kusaidia
aya lakini vua viatu!
Tutasaidiana pale ninapo weza