BUJUMBURA ONE New Member Joined Nov 26, 2019 Posts 1 Reaction score 2 Nov 28, 2019 #1 Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya hapa Jf kwa takribani mwaka mzima bila kuwa member. Ila leo nimeona nami nijumuike pamoja nanyi ili kubadilishana mawazo ya hapa na pale. Asanteni sana.
Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya hapa Jf kwa takribani mwaka mzima bila kuwa member. Ila leo nimeona nami nijumuike pamoja nanyi ili kubadilishana mawazo ya hapa na pale. Asanteni sana.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 29, 2019 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa GT ufaidipo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 6, 2019 #3 Karibu sana JamiiForums...