Mngazija_Jr
Member
- Sep 10, 2017
- 48
- 58
weka picha yakoHamjambo waungwana? Ni member mpya Jamii Forums naomba ushirikiano wenu!
Karibu sana mgeniHamjambo waungwana? Ni member mpya Jamii Forums naomba ushirikiano wenu!
Ni wa kawaida Mkuu ww mawazo yako yamekupeleka wapi?Ushirikiano gan huo unaoutaka?
Karibu sana mgeni
Mi ndo msajili naomba vifuatavyo;-
majina yako yote matatu
passport size
kitambulisho
Umesahau na barua kutoka serikali ya mtaaKaribu sana mgeni
Mi ndo msajili naomba vifuatavyo;-
majina yako yote matatu
passport size
kitambulisho
Karibu sana