Nuru Ndosi
Member
- Mar 31, 2013
- 13
- 2
Kwa mara ya kwanza napiga hodi kwa wenyeji humu jf. Mara nyingi nimekuwa nachungulia kama mgeni lakini nimeona ni bora nijiunge pamoja nanyi ili tuchangie pamoja mawazo yetu kwa manufaa yetu sote. Naamini ya kuwa nitashirikiana nanyi kwa pamoja ili jf iende mbele vile inatakiwa kuwa. Ahsante na pasaka njema