Mgeni

Hilo jina ni la kwako au la mtoto? ''Mamaa Rehema''!!! Haya karibu mgeni wetu. Huyo hapo juu jitahidi tu umzoee. Alikua moro na sasa amehamia kigoma. ni muuzaji maarufu wa majeneza.
 
Karibu sana mama rehema!!? Vp baba rehema na rehema hawajambo? Wanajua kama umesafiri kuja huku??
 
Karibu sana JF mjukuu wetu.....................
 
Hilo jina ni la kwako au la mtoto? ''Mamaa Rehema''!!! Haya karibu mgeni wetu. Huyo hapo juu jitahidi tu umzoee. Alikua moro na sasa amehamia kigoma. ni muuzaji maarufu wa majeneza.
Hahaaa umenifurahisha itabidi nijihadhari naye naogopaga sana watu wa kazi hiyo.....Ahsante jina langu ni Rehema
 
Karibu sana mama rehema!!? Vp baba rehema na rehema hawajambo? Wanajua kama umesafiri kuja huku??
No sijaole na sina mtoto, sio mama rehema ni mamaa Rehema, jina langu ni Rehema japo lipo jengine ila huku natumia hilo. Ahsante kwa ukaribisho.
 
Ahsanteni sana wapendwa, wanajamvi, wanajamiiforum, wazee wangu na shemeji zangu........nimechelewa kurespond application yangu ilikuwa inagoma ku respond shukran sn kwa ukaribisho.
 
No sijaole na sina mtoto, sio mama rehema ni mamaa Rehema, jina langu ni Rehema japo lipo jengine ila huku natumia hilo. Ahsante kwa ukaribisho.

Unaishi mkoa gani mamaa rehema? members wa humu jf wana desturi ya kutembeleana na kujuana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…