MamaaRehema
Member
- Feb 13, 2014
- 78
- 18
- Thread starter
-
- #21
Mie niko dar.Unaishi mkoa gani mamaa rehema? members wa humu jf wana desturi ya kutembeleana na kujuana zaidi.
Polee, ntajitahid kwakwel....Nisaidie bibie, upweke unaniumiza mie.
Nimemunua bonge la kitanda hivi majuzi naona nafasi inabaki tu bure, hakuna wa kuilalia.
basi nitakutumia PM tuzungumze vizuriPolee, ntajitahid kwakwel....
Ahsante, mie n mdada niko darKaribu jinsia yako na unakoishi ili tukusaidie
Picha yako tafadhaliAhsante, mie n mdada niko dar
Ahsante snKaribu sana JamiiForums...
Hahahaha forever in love with jamii forum hahaHilo jina ni la kwako au la mtoto? ''Mamaa Rehema''!!! Haya karibu mgeni wetu. Huyo hapo juu jitahidi tu umzoee. Alikua moro na sasa amehamia kigoma. ni muuzaji maarufu wa majeneza.
Namba ya simu yako tafadhaliMie niko dar.
Ok kwa pmNamba ya simu yako tafadhali