KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 629
Walimu wa madarasa, academic master/mistress, walimu wa nidhamu, makamu mkuu wa shule, walimu wa michezo, n.k hao wote hawakomai na majukumu yao?Hakuna mwalimu anayekomaa na majukumu mengine zaidi ya kufundisha kipindi chake labda kama hana akili timamu
Wakaribishwa JF...Mimi mgeni naomba ushirikiano wenu
Ungekuwa mwalimu ungeelewa na kutenga muda wa kufanya mambo yakoWalimu wa madarasa, academic master/mistress, walimu wa nidhamu, makamu mkuu wa shule, walimu wa michezo, n.k hao wote hawakomai na majukumu yao?
Sipati picha wala negative ya hiyo shule.
Watu wakisema walimu wengi ni wezi mnawatukana.
Ushirikiano wa nini? Au hata ukiliwa papuchi tushirikiane?Mimi mgeni naomba ushirikiano wenu
Labda wazee ndio wana witoWalimu ni wito mzee kama ilivyo kazi ya upadri,usipo kuwa na wito kazi ya uwalimu haikufai usije tuharibia vijana wetu tafuta kazi nyingine,hasa ukijuwa maana ya wito...
Kwa sababu wewe ni "mwalimu" hujanielewa kuwa kufuatilia post humu jf ndo jambo langu la leoUngekuwa mwalimu ungeelewa na kutenga muda wa kufanya mambo yako
Nitafute tuonane ana kwa ana ndio naweza kukuelewesha vizuri naona hatuelewaniKwa sababu wewe ni "mwalimu" hujanielewa kuwa kufuatilia post humu jf ndo jambo langu la leo
Ualimu sio kusimama tu pale mbele ya wanafunzi, hujajiandaa na kuanza kuwaongopea wanafunzi.
Usiitafute laana ya kizazi chako kwa kutowatendea haki watoto wa wenzio.
Kumbuka what goes around, comes around.
Nakuelewa vizuri kuliko unavyodhani. Nadhani hunielewi kwa sababu ambazo only Heaven knows.Nitafute tuonane ana kwa ana ndio naweza kukuelewesha vizuri naona hatuelewani
Tukae chini tuelewane vizuri
Sina cheo na sihitaji
Walimu ni wito mzee kama ilivyo kazi ya upadri,usipo kuwa na wito kazi ya uwalimu haikufai usije tuharibia vijana wetu tafuta kazi nyingine,hasa ukijuwa maana ya wito...