Karibu njoo moja kwa moja jukwaa la celebrities bila kupepesa machoJamani hodi humu ndani je nakaribishwa?
"Like charges repel while unlike charges attract to each other"Wanaume wa jf siwawezi kwa ujumla wenu shikamoni!!!!si kwa ukaribisho huo
Kumbuka hiyo lugha ilikuja na meli na wakati huo nipo ushirombo usitegemee nimeelewa chochote[emoji17]"Like charges repel while unlike charges attract to each other"
Hapa nilikuwa nakukumbusha enzi hizo tupo sekondari kuna law fulani hivi ya phys ipo kwenye topic ya Current electricity inazungumza hivyo, so nikaona inashibahiana kwa kiasi kikubwa na swali ulilouliza kwa kuwa jinsia ya kike na kiume ni sawa na opposite charges kwa hiyo lazima zivutaneKumbuka hiyo lugha ilikuja na meli na wakati huo nipo ushirombo usitegemee nimeelewa chochote[emoji17]
Basi tuishie hapo maana unazidi tu kunichanganyaHapa nilikuwa nakukumbusha enzi hizo tupo sekondari kuna law fulani hivi ya phys ipo kwenye topic ya Current electricity inazungumza hivyo, so nikaona inashibahiana kwa kiasi kikubwa na swali ulilouliza
Utakuwa ushasahau maana ipo kama siyo form one itakuwa twoBasi tuishie hapo maana unazidi tu kunichanganya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi tuishie hapo maana unazidi tu kunichanganya