Mgeni

Mgeni

Huku sio facebook, uwe na akili zako unapochangia mijadala, karibu sana
 
Umekosea jukwaa. Ukumbuke humu wote ni wasomi, watu wana maisha mazuri, wanamiliki magari na wanasimu nzuri.
Wewe njoo na Tecno yako. Utaambiwa Tecno ni camera na siyo simu.
Karibu sana
 
Umekosea jukwaa. Ukumbuke humu wote ni wasomi, watu wana maisha mazuri, wanamiliki magari na wanasimu nzuri.
Wewe njoo na Tecno yako. Utaambiwa Tecno ni camera na siyo simu.
Karibu sana

Duuu sasa hii kitochi changu itakuaje tena
 
Toa utambulisho, majina yako kamili, unapoishi, umri, jinsia, interests zako na contacts zako. Hivyo ndivyo waungwana tunavyojuana
 
Back
Top Bottom