Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,138
Huku sio facebook, uwe na akili zako unapochangia mijadala, karibu sana
Umekosea jukwaa. Ukumbuke humu wote ni wasomi, watu wana maisha mazuri, wanamiliki magari na wanasimu nzuri.
Wewe njoo na Tecno yako. Utaambiwa Tecno ni camera na siyo simu.
Karibu sana
Karibu mgeni, jisikie uko nyumbani