Dogo chaka
Member
- Nov 19, 2024
- 7
- 6
Si ungetumia jina lako la mtaani tu la dogo choko. Ingependeza zaidi.πππMe ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya
Aaanh me ni mnunua madafu ikuluπSi ungetumia jina lako la mtaani tu la dogo choko. Ingependeza zaidi.πππ
Aahaaaaa.....Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya