kitunteni2013
New Member
- Sep 18, 2013
- 2
- 0
Ndugu zangu wa jamii forum nimevutiwa na uelimishaj wenu wa kila siku nimeamua kujiunga baada ya kuona nakosa huondo wa kuchangia ni mekuwa nikisoma makala mbalimbal kama za siasa habar mchanganyiko na nyinginezo nawapenda sana mungu awape longer life