F Frank Stanley New Member Joined May 5, 2010 Posts 1 Reaction score 0 May 5, 2010 #1 habari za jioni ndugu zangu! Naombeni mnikaribishe jamvini kw mikono miwili.
G GodHaveMercy Member Joined Apr 25, 2010 Posts 35 Reaction score 2 May 5, 2010 #2 Karibu saaana mgeni wetu! 🙂 Tupo pamoja na wewe!
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 May 5, 2010 #3 Frank Stanley said: habari za jioni ndugu zangu! Naombeni mnikaribishe jamvini kw mikono miwili. Click to expand... karibu FRANK,
Frank Stanley said: habari za jioni ndugu zangu! Naombeni mnikaribishe jamvini kw mikono miwili. Click to expand... karibu FRANK,
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 May 6, 2010 #4 Karibu Frank
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 May 6, 2010 #5 Karibu yakheee!!!
Kaka Sam JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 540 Reaction score 78 May 6, 2010 #6 Karibia Frank, mchango wako tutauthamini.
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 May 6, 2010 #7 Karibu na umeshapokelewa kwa mikono miwili kama ulivyoomba na kwakuwa idadi ya mikoni ni hiyo hiyo sisi hatuna la kuongeza.
Karibu na umeshapokelewa kwa mikono miwili kama ulivyoomba na kwakuwa idadi ya mikoni ni hiyo hiyo sisi hatuna la kuongeza.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 May 6, 2010 #8 Karibu mgeni.