Mgeni

Mgeni

dontgiveup

Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
22
Reaction score
5
Habari zenu wapendwa mimi ni mgeni katika jukwaa hili hivyo naomba mnipokee kwa mikono miwili
Akhsante
 
Ahsante kwa taarifa.

Swali dogo la nyongeza..... umeolewa/umechumbiwa?

CC: Dena Amsi, Kaizer, watu8, KakaKiiza, mwekundu Kwa Taarifa.
Asante kwa taarifa kwani naamini hata mimi ningeuliza swali hili!!ila mimi naenda mbali zaidi dontgiveup mimi nipe namba ya simu nakitu nataka niongee nawewe rusha PM tafadhali kwani najua Asprin alisahau kukuomba ila nitumie mimi nitampa kama atahiitaji..Yangu ni hayo nakushukuru mtu wangu kwa kunihusisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom