dontgiveup
Member
- Nov 10, 2014
- 22
- 5
We ni he/she??Habari zenu wapendwa mimi ni mgeni katika jukwaa hili hivyo naomba mnipokee kwa mikono miwili
Akhsante
We ni he/she??
Karibu sana JF...
Mkaguzi @work chezea wewe
Kama kawa
Naam, hakuna kuchezea fursa.
Umeona eh?Kwa kweli na imeshapatikana tayari
Kabla sijamkagua usisahau nina kazi ya kukutibu wewe kwanza....:mimba:Sasa kazi imekamilika shindwa mwenyewe ukaguziii oyeeeeee
Umeona eh?
Kabla sijamkagua usisahau nina kazi ya kukutibu wewe kwanza....:mimba:
Hilo halina mjadala.....:A S-rap::A S-rap:Mie tushakubalika mpaka eneo la tukio tayari ama??
Hilo halina mjadala.....:A S-rap::A S-rap:
Asante kwa taarifa kwani naamini hata mimi ningeuliza swali hili!!ila mimi naenda mbali zaidi dontgiveup mimi nipe namba ya simu nakitu nataka niongee nawewe rusha PM tafadhali kwani najua Asprin alisahau kukuomba ila nitumie mimi nitampa kama atahiitaji..Yangu ni hayo nakushukuru mtu wangu kwa kunihusisha.