marko maluli
Senior Member
- Mar 14, 2015
- 164
- 49
mim ni mgeni ukaribish wenu ni furaha kwangu na natamka hv tupo pamoj bila shaka tusjirikiane kwa pamoja kulijengaa taifa nisiwe muongeaji sana ila jina km mlionavyo hakuna cha nyongeza asanten sanaaa