Mgeni

Mgeni

siri123

Senior Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
116
Reaction score
75
Hi everyone,

Naitwa siri ni member mpya wa jf..... excited kuingia humu.

Msichana miaka 25, mrefu...... cant wait 2 make new friends......
 
Karibu siri123, feel free to express yourself, sheria ya cyber crime bado haijawekwa sahihi., kuna majukwaa kadhaa unaweza jumuika na wana jamvi kubadilishana mawazo ufahamu na ujuzi, karibu sana.
 
Karibu sana JF...

Kuwa tayari kukutana na wanaume warefu kama wewe pia...

Hi everyone,

Naitwa siri ni member mpya wa jf..... excited kuingia humu.

Msichana miaka 25, mrefu...... cant wait 2 make new friends......
 
Ha ha ha mambo mengine bwana? Kulikua na ulazima gani wa kujielezea yote hayo?

Heheh...ukitaka kutafuta marafiki si unajua tena lazima ujitambulishe vizuri kama kimo, rangi, umri...
 
Ha ha ha mambo mengine bwana? Kulikua na ulazima gani wa kujielezea yote hayo?

Nmeona ulazima ndo maana nkaandika...... hukuona ulazima ndo maana sio thread yako......
 
Karibu siri123, feel free to express yourself, sheria ya cyber crime bado haijawekwa sahihi., kuna majukwaa kadhaa unaweza jumuika na wana jamvi kubadilishana mawazo ufahamu na ujuzi, karibu sana.

Asante sana Kimolah
 
Last edited by a moderator:
Nmeona ulazima ndo maana nkaandika...... hukuona ulazima ndo maana sio thread yako......

Kwendraaaa, mshamba mkubwa wewe.Weka na picha kabisa na namba zako za simu basi.
Halafu wewe utakua mzoefu humu umebadili upepo kwa id mpya.
Mgeni gani anayejua kumention?
Hahahahaa wadanganye hao hao.
 
Ana chora watu ana ajenga yake huyo si bure mgeni anajua Ku mention muongo huyu.
 
See that's the problem hukuitwa wala sio lazma ucomment.... sawa mi wa zamani sawa nmekubuhu najiuza sijiuzi humu ndani i dont think tunashare vikojoleo.....
 
Jamani si ni mimi au? What i do, how i do it, where and when nyie shida yenu nini? Nnachora sichori niacheni kheeee.....
 
See that's the problem hukuitwa wala sio lazma ucomment.... sawa mi wa zamani sawa nmekubuhu najiuza sijiuzi humu ndani i dont think tunashare vikojoleo.....

Hahahahaaa wewe ni mtupu kichwani sijapata ona.Unajivua nguo mwenyewe bila kuulizwa.
Kumbe unajiuza? Kweli ile autobiography imebadili mambo huku JF.
Hazihitajiki degree 3 za Le Mutuz kujua kua wewe ni muhanga!
 
Ana chora watu ana ajenga yake huyo si bure mgeni anajua Ku mention muongo huyu.

Hahahaaa shoga ameshasema na kukubali mwenyewe kua anajiuza na amekubuhu!
Nimeshangaa sana mgeni anayejua kumention! Looh...
 
Mwenzangu hata mimi nimeshangaa!
Mimi nilijua kumention baada ya miezi 6!

Hahhaha ! Hata mie juz juz tu nimejua ku~mention ila jf nilishajiungaga miez miwili ilo pita nilikuwa nasoma tu comment za watu
 
Back
Top Bottom