Mgeni!

katika vitu ninavyoviogoma na kuvichukia maishani ni hicho
 
katika vitu ninavyoviogoma na kuvichukia maishani ni hicho
unaogopa nyoka tu au kila kilichofanana na nyoka?, kama joka limekuogopesha sana nishtue nikutumie PM ya kukuliwaza.
 
Siku ringa jamani Laaziz wangu lol,sikuona tu hilo swali si unajua mimi ni mvivu wa kutembelea thread zote zinazokuwa ndefu,Lakini hata hapa nikikujibu kuna ubaya?Ila naogopa wataniona labda tuzime taa.

ndio nimesoma jana nikakuuliza jina la huyo mtu ..
ukaringa kuniambia haya bwana...[/QUOTE]
 
aaah umenikumbusha meserani snake park kuna za kila aina.
Na kweli huyu ni wa pale Meserani bana..ukiingia tu!

Ila mkuu nikampata kama huyo kitandani namwambia tu asogee tulale wote asitumie kitanda chote!
 
[/QUOTE]


haya bwana ni Pm jina lake basi.....
mmmhhh maana sijui ni kwa nni nataka kujua ni nani lakini nataka kujua tu
hahahahhhhahha lol
 
Mkuu, hapo SNAKE PARK Mikumi? Huyo snake mchumba tuu!
 
Bora umuone ukiwa mlangoni.
mh mara ndio umejifungia chumbani yeye yuko kwa mlango!

Huyu hanaga shida, kama ameshiba unamuacha kidogo napumzika kisha unafungua mlango anaytoka zake.
 
dawa yake unga wa mahindi ,mpe abwie hadi achoke anaondoka zake swalamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…