Mgodi wa Barrick wapigwa faini Tsh Bilioni 1 kwa uchafuzi wa mazingira

Ukiiba kura , Ile dhambi ya unafiki inaambatana na watendaji kuchakachukua taarifa hata muhimu, clip ya mwananchi mkazi inafikirisha Sana.
 
Yule Profesa ametia aibu taasisi yooote ya uprofesa aisee, hv hatuwezi kumvua abaki na degree moja.
 
Jafo na tume yake uchwara wajiuzulu. Tume ya vinyesi na mikojo aibu kubwa imewakumba. Ingekuwa China mngekuwa jela maisha au kunyongwa kabisa. Nonsense.
 
Bil 1 kwa Barick ni kama Pipi tu...Huu mgodi umewahi kutozwa bil 5 na hao hao Nemc sasa kama walitozwa 5 hawakunadilika mnawatoza 1 inasaidia nn?? Watu wa kanda ya ziwa wataumia sana na haya madhara ya mgodi huu
 
Watu wengi humu hata hamsomi mkaelewa. Hili ni tukio tofauti na lile lililoundiwa tume ya kuchunguza. Lakini baadhi humu wanazungumzia hili tukio wakielewa kuwa ni lile lililosababisha samaki kufa mto Mara.

Bomba lililopasuka ni la maji masafi yanayotumika mgodini, siyo la maji ya sumu. Bwawa la maji ya sumu halina bomba la kutoa maji. Maji ya sumu yataweza kutiririkia nje, endapo tu kingo za bwawa, carpet vikipasuka.
 
Bil 1 kwa Barick ni kama Pipi tu...Huu mgodi umewahi kutozwa bil 5 na hao hao Nemc sasa kama walitozwa 5 hawakunadilika mnawatoza 1 inasaidia nn?? Watu wa kanda ya ziwa wataumia sana na haya madhara ya mgodi huu
Jafo ndiyo kasababisha haya yote
 
Usisahau report ilisema kwamba ni ngumu kwa maji kutoka Barrick kutiririsha maji mto mara kutokana na umbali wa hizo sehemu mbili.
 
Kwanza hii mada iondolewe kwenye jukwaa la siasa, pili heading ibadilishwe ipewe uzito kidogo.

Tukumbuke matokeo ya huu uchafuzi huu ni kutokana na mada mbalimbali zilizojitokeza huko nyuma kuhusiana na uchafuzi wa maji mto Mara uliopelekea samaki wengi kufa.

Ingefaa hata kuweka heading inayogusia kidogo mto Mara ili kutoa picha kwa msomaji.
 
Sheria inasema mamlaka husika Ina uwezo wa kuzoza fine Kati ya Lak 5 Na Bil 10. Wao wamekadiria wakaona kosa Hilo 1 Bl inatosha. Nchi yangu Nchi yangu TANZANIA.
 
Hii habari ilipoletwa humu jana haikuwa na maelezo hayo uliyoyasoma wewe leo.

Haikuwa na nukuu za Biteko wala NEMC kwa hiyo shida siyo wachangia kutokuelewa bali habari haikuwa inaeleweka.

BTW:Kama hayo maji ni masafi hiyo faini ya kazi gani?

NEMC wamechukua sampuli za kazi gani huku tayari inajulikana masafi?

Kutiririsha maji masafi kwa saa nne faini ni 1B!😁.

Mamlaka za maji zingeshafirisika kwa faini sababu ya mabomba yao kupasuka kila mahali.

Hayo maji ni machafu ndiyo maana hutibiwa kwanza kabla ya kwenda kwenye matumizi ya kawaida.
 
Kama maji ni salama, wamechafuaje mazingira?
 
Sheria inasema mamlaka husika Ina uwezo wa kuzoza fine Kati ya Lak 5 Na Bil 10. Wao wamekadiria wakaona kosa Hilo 1 Bl inatosha. Nchi yangu Nchi yangu TANZANIA.
Kama maji ni salama, uchafu unatoka wapi?
 
Hiyo tume aliyounda phd holder jaffo ilikuwa chenga tupu, maana sijaona hata wataalamu wa wanyama kutoka wizara ya mifugo na uvuvi.......hao samaki waliokufa wangefanyiwa uchunguzi makini na wataalamu husika ingejulikana tu fasta kama wamekufa kwa sumu au mkojo na kinyesi cha ng'ombe kama alivyodai le professeri manyele.......​
 
tuliwaonya barrack wasi inunue north mara kutoka kwa placer dom lakini hawakusikia, acha wapambane na hali yao sasa, mipango inapangwa wajanja wanapasua bomba mwishowe wanalazimishwa kulipa Fidia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…