Kwani Barrick ndo wanafuga hao ng'ombe wanaokunya kinyesi ndani ya mto?. Na vipi wao ndo waliotesha majani yanayotoa mafuta?. Time imeweka bayana vyanzo vya uchafuzi ina maana NEMC hawakuilewa ripoti ya watu wa jalalani?. Ama kweli yasiyotokea popote hutokea Tanzania.