Mgodi wa makaa ya mawe unahitajika haraka

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata.

Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa ya mawe na kuna geology report hebu tuwasiliane tufanye biashara.

Karibuni.
 
Ndugu kwa nini usiweke mawasiliano ili kurahisisha upatikanaji? 0766111212
 
0673578596 njoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…