Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Kwa source za ki intelgensia unaambiwa m23 wapo kila sehemu kwa sasa hawategemei struggle kuteka mji kama ilivo mwanzo uko kivu.
KWA NN BUKAVU IMEKAMATIKA KIRAISI?
m23 wamejipanga na wana intelgensia hatari wamesha sambaza wanajeshi wake congo nzima kwaiyo mkuu akifika wanapiwa taarifa wavae magwanda yao ni kama walikua bukavu toka wapo goma walisha iteka kabla ya kufika.
Pia soma: Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo
Pia soma: utabiri wangu kabla m23 hawajafika bukavu Congo: Wanadiplomasia wameondolewa Bukavu wamepekwa Rwanda. Nadhani Bukavu kutawaka moto mda siyo mrefu
Kila mkoa wamo tayari kama raia na unapofika mda wanapigiwa simu tu na kuvaa gwanda na hapo wanatangaza et wameingia na kuteka mkoa huo,
Rais kama Ana Akili ni mda wa yeye kujikimbilia mapema,ivi jioni ya leo wameingia kamanyola mji uko umbali wa 80km na uvira