Vita kati ya kina lazaro (aka TRA) na wafanyabiashara imefika pabaya. Leo tumeshihudia maduka yakiwa yamefungwa palę Kariakoo.
Huenda kweli kuna wafanyabiashara ambao wanakwepa ushuru, ila sasa kinachoonekana machoni pa wafanyabiashara ni kwamba wanaonewa. Kamata-kamata ni nyingi mno.
Sasa ukiangalia ripoti za makusanyo TRA ni kwamba tumekuwa tukivuka lengo. Hapo ndiyo najiuliza kuna cooked data (report) au shida nini? Hizo big achievement zinatoka wapi ikiwa wafanyabiashara hawalipi kodi?
Waajiriwa watakuwa wanajua kinachoendelea.
pia soma
- Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi
- Mgomo wa Wafanyabiashara ambapo Biashara zilifungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024.
- Chalamila kuwasili Kariakoo katika jitihada za kutatua mgogoro
- Baada ya Chalamila kuondoka Kariakoo, bado Wafanyabishara waliendeleza mgomo wa kufunga maduka.