Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
Naomba kuutarifu uma na Serikali kwa ujumla kwamba mimi na wenzangu kadhaa miaka ya 2010, 2011 kulikuwa na taarifa za wazi juu ya mgogoro wa eneo hilo na ukiachana na wale ambao tayari walikuwa wamenunua wengine wote waliambiwa kuhusu eneo kuwa na mgogoro na kulikuwa na kesi Mahakamani.
Japo wenyeji baadhi walidiriki kuwamisha wateja kuwa hio kesi anaedai umiliki kapigwa Kibra.
Sisi baadhi yetu si kwa uwezo wetu Bali kwa uoga wa kesi na kuitazama mbele iliyo mbali zaidi tukaachana na eneo hilo tukanunue mbali na hapo.
Serikali ni Baba na Mama wa Raia wote itende haki impatie mwekezaji eneo jingine na kumpa fidia ni muhimu kufanya hivyo.
Huu uvamizi wa eneo hilo haufurahishi na sio vema kuwaondoa Raia, mpaka sasa eneo hilo linapendeza na lina nyumba nzuri sana.
Nimechoka naishia hapa kuhusu mgogoro tutashuhudia mengi sana na haya ndio manufaa ya nyakati za uchaguzi.
Ni hayo tu
Wadiz