joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Mar 12, 2022 #1 MY TAKE: Sina uhakika Kama Kenya wanaweza kujadili kuhusu huu mgogoro wakiwa huru Kama Uganda
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 12, 2022 #2 wakenya wapo busy na kampeni kwa sasa
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,387 Reaction score 2,085 Mar 12, 2022 #3 “Ya Ngoswe tumuachie Ngoswe” maana tukiwa tunapambana na njaa zetu hapa Kibera hatumuoni Mrusi labda huyo Ukraine jamaa zake wa NATO wanapunguza makali kiaina…. “Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake…” in the voice of Chief(Hangaya) in command.
“Ya Ngoswe tumuachie Ngoswe” maana tukiwa tunapambana na njaa zetu hapa Kibera hatumuoni Mrusi labda huyo Ukraine jamaa zake wa NATO wanapunguza makali kiaina…. “Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake…” in the voice of Chief(Hangaya) in command.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 12, 2022 #4 Kila nchi na mambo yake...