Mgogoro wa ardhi,naomba msaada wa kisheria jamani.

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
406
Reaction score
116
Kuna watu wamevamia eneo langu hekari zaidi ya 30 na kuharibu miti na kulima,zaidi wananitishia maisha, nilifungua kesi ya uharibifu wa mali mahakama ya mwanzo lkn Hukumu ilitoka kuwa nikafungue kesi kwenye baraza la ardhi la kata. Sasa nifanyeje wanajf?
 
The lawyers' stock is time and advice, kwa hiyo unachofanya hapo ni kutaka kuchukua bidhaa ya wanasheria bure wakati wao wanauza, tafuta mwanasheria mpe full stori atakusaidia au kama vipi ni pm
 
lete hela mawakili tupo tukupe ushauri na pengine kufungua kesi ambayo ni kushinda
 
Kuna watu wamevamia eneo langu hekari zaidi ya 30 na kuharibu miti na kulima,zaidi wananitishia maisha, nilifungua kesi ya uharibifu wa mali mahakama ya mwanzo lkn Hukumu ilitoka kuwa nikafungue kesi kwenye baraza la ardhi la kata. Sasa nifanyeje wanajf?

Wakati wanavamia wewe ulikuwa wapi? Ndio swali la kwanza utakao ulizwa huko baraza la ardhi

Sheria inaruhusu anaelihudunmia eneo kumilikwisha kama mwenye nalo hatoonekana kwa kipindi fulani
 
Back
Top Bottom