Katiba inatamka Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar,cha ajabu kuna mamlaka zinaitwa za Tanzania na wakati huo huo,Tz visiwani nao wanaanzisha mamlaka hiyo hiyo,ila kwa jina la Zanzibar,kwa tuna kituo cha uwekezaji (TIC)visiwani wana cha kwao pia,hii imekaaje?

Pasi na shaka wewe ni mbumbumbu wa sheria za nchi yako.

Kwa kukujuza muungano wa Tanganyika na Znz ni wa KIMKATABA NA WALA SI WA KISHERIA. Kuna mambo ambayo mkataba huo umeyabainisha kuwa ni hayo tu ndio ya muungano na mengine yanakuwa nje ya muungano.

nakupa homnework fuatilia hayo makubaliano ya muungano baina ya Tng na Znz utajua mengi.

Kila la kheir
Umewahi kusikia nchi zifuatazo:
- Tanzania
- Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
- Tanzania Bara
- Tanzania visiwani
- Tanzania Zanzibar
Inawezekana hata mimi mbumbumbu pia....unaposema muungano sio wa kisheria unataka kusema nini hasa?Pasi na shaka wewe ni mbumbumbu wa sheria za nchi yako.