joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: A country with disputes with almost all its neighbors
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na roho ya kuwaombea wananchi wa nchi za wenzako wafariki bali waombe watafute suluhisho bila ya kuuwana.Ngoja Uganda wawatandike muwe na adabu
Mwana kutafutaUsiwe na roho ya kuwaombea wananchi wa nchi za wenzako wafariki bali waombe watafute suluhisho bila ya kuuwana.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
KE is a very troubled and weak country, huku wanasumbuliwa na Somalia, kule Ethiopia na sasa Uganda, what a shame...
MY TAKE: A country with disputes with almost all its neighbors
Hahahaha, frustration out of hunger in slums.Kenya imezungukwa na takataka za kila aina zinazojiita majirani, wengine ni madikteta,masikini wa kutupwa,vicheche,wendawazimu,magaidi na kila aina ya uchafu[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji30][emoji37][emoji37][emoji40].
Rushwa iko kwenye damu kwa askari wa Kenya na wakenya wote kwa ujumla.
Raia mmoja wa Kenya anasema maaskari wa Kenya huwaomba pesa wavuvi wa Kenya ili wawalinde dhidi ya askari wa Uganda! Wakipewa pesa wanafunga na simu!!
Huu mchezo ndio walitaka kuwafanyia watanzania kwenye sakata la Corona wakashindwa!! Walitaka watanzania wapimwe Kenya ili wapewe positive results hata Kama ni negative! lakini ukitoa pesa inabadilishwa na kuwa negative! Watanzania wakagoma, Hadi njaa ilipowanyosha wakenya wakasalimu amri na kukubali makubaliano ya awali, yaani kila nchi ipime watu wake na kutoa cheti kitachotambuliwa na nchi jirani.
Na bado Wanaongoza Afrika na mashariki ya Kati kiuchumi...mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe.KE is a very troubled and weak country, huku wanasumbuliwa na Somalia, kule Ethiopia na sasa Uganda, what a shame...
Na bado Wanaongoza Afrika na mashariki ya Kati kiuchumi...mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe.