Mgogoro wa mto Nile: Ethiopia yafunga anga Lake rasmi kuanzia sasa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Ethiopia imepiga marufuku safari za anga katika angala lake juu ya bwana iinalojenga la Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) kwasababu za kiusalama, kulingana na tovuti inayomilikiwa na mwanahabari wa kujitegemea.

"Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ndege la Safari za Anga nchini Ethiopia, Col Wesenyeleh Hunegnaw, amemuambia mwanahabari huyo kwamba kufuatia mashauriano na mashirika husika ya usalama, anga la eneo la jimbo la Benishangul-Gumuz [kaskazini -mashariki mwa Ethiopia] ambapo bwawa hilo linajengwa ni karibu na safari zote za ndege," ripoti hiyo imesema.

Alisema kwamba hakuna ndege ya abiria au za mizigo zitakazoruhusiwa kusafiri juu ya anga hilo lakini huenda pengine ruhusa ikatolewa kwa atakayewasilisha ombi.

Mkuu wa jeshi la Anga, Meja Jenerali Yilma Merdasa, pia wiki iliyopita alionya kwamba kikosi cha anga kimeboresha ndege zake za kivita na inauwezo wa kulinda bwana hilo kutokana na shambulio lolote la adui.

Bwawa hilo ambalo limezua utata linalotarajiwa kuwa kubwa zaidi Afrika, limeendelea kuzorotesha uhusiano wa Ethiopia na Misri pamoja na Sudan kwa kiasi fulani.

Ethiopia 'yapiga marufuku safari za anga juu ya bwawa la mto Nile'

=======

MY TAKE: Hii ni dalili kwamba wakati wowote kuanzia sasa Egypt na Ethiopia zitakiwasha.
 
Si wewe ndio ulisema kuwa Ethiopia haina uwezo wa kupigana na Egypt? Kwamba Egypt imeishinda kwa mbali? Ama nimekunukuu vibaya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ukianza uzi na kichwa ya uongo!! Lakini watanzania mko na shida!!!! ethiopia haijafunga anga lake. Imekataza mandege yote, mpaka ethiopian airlines, kupita juu ya hiyo bwawa wanajenga ambayo ndiyo kubwa kabisa Afrika nzima.

Hii ujinga ya kuji furahisha kwa udaku, uvumi na uongo mtacha lini nyinyi Watanzania?

River Nile row: Ethiopia bans flights above Grand Renaissance Dam

Nchi zote duniani ziko na sheria kama hizi, kuna sehemu ya anga hutumika na majeshi pekee, na ingine itumike na ndege za abiria, kulingana na vitu serikali ya hiyo nchi inaona ni nyeti.

NB: Kabla uanze kuweka upuzi wenyu wa kitanzania fanya utafiti kwanza uone kama hizo habari ni za kuaminika.

Kenya tunafurahia hiyo ya ethiopia kujenga bwawa kubwa afrika nzima (Najua nyinyi hampendi watu wakifanya vitu kama hizi), kwa sababu tumeshaingia mkataba wa kununua stima kutoka kwao kwa bei rahisi, ili tuzidi kuweka bidii kuimarisha viwanda hapa kwetu Kenya. Hata tumejenga high voltage transmission line, inayoweza kubeba 2000 MW na urefu wake ni 1200 km (Longest in East and Central Africa), kuunganisha Ethiopia na Kenya.
 
Ethiopia imepiga marufuku safari za anga katika angala lake juu ya bwana iinalojenga la Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) kwasababu za kiusalama, kulingana na tovuti inayomilikiwa na mwanahabari wa kujitegemea.

"Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ndege la Safari za Anga nchini Ethiopia, Col Wesenyeleh Hunegnaw, amemuambia mwanahabari huyo kwamba kufuatia mashauriano na mashirika husika ya usalama, anga la eneo la jimbo la Benishangul-Gumuz [kaskazini -mashariki mwa Ethiopia] ambapo bwawa hilo linajengwa ni karibu na safari zote za ndege," ripoti hiyo imesema.

Alisema kwamba hakuna ndege ya abiria au za mizigo zitakazoruhusiwa kusafiri juu ya anga hilo lakini huenda pengine ruhusa ikatolewa kwa atakayewasilisha ombi.

Mkuu wa jeshi la Anga, Meja Jenerali Yilma Merdasa, pia wiki iliyopita alionya kwamba kikosi cha anga kimeboresha ndege zake za kivita na inauwezo wa kulinda bwana hilo kutokana na shambulio lolote la adui.

Bwawa hilo ambalo limezua utata linalotarajiwa kuwa kubwa zaidi Afrika, limeendelea kuzorotesha uhusiano wa Ethiopia na Misri pamoja na Sudan kwa kiasi fulani.

Ethiopia 'yapiga marufuku safari za anga juu ya bwawa la mto Nile'

MY TAKE: Hii ni dalili kwamba wakati wowote kuanzia sasa Egypt na Ethiopia zitakiwasha.

Ethiopia has just banned flights over the dam area, not all of its air-space.
Hata kusoma ni kazi kubwa kwako kaka?
 
Ninyi wakenya hamna akili, The heading can't explain each and everything, the articles is there says it all, instead of analysing the contents of the article, you are analysing the contents of heading which is just one sentence.
 
Your headline is very sensational sasa nikiweka thread hapa niseme "Watanzania Wamekufa", halafu kwenye article niandike ni watanzania wawili tu? itakuwa ukweli , lakini hizo ni headline za kupotosha.
 
you headline is very sensational sasa nikiweka thread hapa niseme "Watanzania Wamekufa", halafu kwenye article niandike ni watanzania wawili tu? itakuwa ukweli , lakini hizo ni headline za kupotosha ..
What is wrong with that "Watanzania wamekufa", wakati hata wawili pia ni watanzania? Hiyo lengo Lake ni kukufanya usome habari nzima badala ya kusoma heading pekee na kujua kila kitu inapunguza umuhimu wa watu kununua gazeti, wataishia kusoma heading pekee, very smart way ya kuandika kichwa cha habari, Nothing wrong with that heading". Please concentrate with main body.
 
Sasa ukianza uzi na kichwa ya uongo!! Lakini watanzania mko na shida!!!! ethiopia haijafunga anga lake. Imekataza mandege yote, mpaka ethiopian airlines, kupita juu ya hiyo bwawa wanajenga ambayo ndiyo kubwa kabisa Afrika nzima.

Hii ujinga ya kuji furahisha kwa udaku, uvumi na uongo mtacha lini nyinyi Watanzania?

River Nile row: Ethiopia bans flights above Grand Renaissance Dam

Nchi zote duniani ziko na sheria kama hizi, kuna sehemu ya anga hutumika na majeshi pekee, na ingine itumike na ndege za abiria, kulingana na vitu serikali ya hiyo nchi inaona ni nyeti.

NB: Kabla uanze kuweka upuzi wenyu wa kitanzania fanya utafiti kwanza uone kama hizo habari ni za kuaminika.

Kenya tunafurahia hiyo ya ethiopia kujenga bwawa kubwa afrika nzima (Najua nyinyi hampendi watu wakifanya vitu kama hizi), kwa sababu tumeshaingia mkataba wa kununua stima kutoka kwao kwa bei rahisi, ili tuzidi kuweka bidii kuimarisha viwanda hapa kwetu Kenya. Hata tumejenga high voltage transmission line, inayoweza kubeba 2000 MW na urefu wake ni 1200 km (Longest in East and Central Africa), kuunganisha Ethiopia na Kenya.
Nakubaliana na wewe. Title ya hii habari ni misleading kabisa
 
MY TAKE
Finger crossed!

CC: Tony254

Egypt won't do anything. joto la jiwe was saying that Egypt was going to bomb the dam. Last year during the first filling Ethiopia filled 4 billion cubic metres of water. This year during second filling, Ethiopia has filled a total of over 9 billion cubic metres of water. That is enough to enable Ethiopia to start operating the first two early generation turbines. Ethiopia will start producing electricity this year using those two turbines. The other 13 turbines will come into operation in the next one or two years. Wakati wa Egypt kubomb hii dam umepita.
 
Ethiopia getting ready to install a turbine at Gerd
1626695646514.png
 
Back
Top Bottom