DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 676
Hii ndio ilikua ndege kubwa Duniani, Ni ya kipekee zaidi, Na ilitengenezwa moja tu na kampuni iliyoitwa Antonov Serial Production Plant huku ikimilikiwa na Ukraine SSR.
Ilikuwa na Uwezo wa Kubeba Tani 640 hizi ni tofauti na Aeroplane au Aircraft, Hizi huitwa Airlift au Strategic Airlift cargo, Tukiwa watoto zilikuwa zikipita juu tunaita "Rocket" zikitoa kitu kama moshi mwingi, Pengine mpaka leo tunajua ni rocket wengine....
Uundaji wa ndege hii ulisimama mara nyingi kutokana na Uhaba wa pesa, Fikiria uundaji wake uliisha mwaka 1985 lakini Ukraine mpaka mwaka 2009 ilikuwa imelipa 70% tu.
Ilikuwa imetulia tarehe 24 katika Hostomel Airport ndipo ikapigwa shambulizi na Majeshi ya Urusi, Ilikuwa ndio Ndege yenye Mabawa mapana zaidi, hivyo dunia imepoteza moja ya heaviest aircraft ever built.