nikweli kabisa pale wameweza,wamepandikiza watu wao ambao hawana sifa za uongozi,sijui nchi hii tunaenda wapitatizo CCM watakuwa wameshawekeza hapo, maana hizi wizara zetu ndio chanzo cha matatizo mengi sana, kuna watendaji waliowekwa kwa fadhila na hawajui kufanya kazi isipokuwa kulinda maslahi ya jamaa zao waliwaweka