ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 247
- 107
Bado ninaamini kuwa ili uendelee tunahitaji mambo makuu manne:
1. Ardhi
2. Watu
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora.
Kwa mwingi huo,Kira yangu nita mpa mgombea yoyote mwenye kuahidi:
1. Ataweka mazingira wezeshi ya matumizi Bora ya ardhi tuliyonayo ili uwezo kutumiwa na wananchi kwa kuliko na ufugaji Bora na kwenye toka. Hii ni pamoja na kujenga sera zitakazoondoa kabisa migogoro ya ardhi nchini.
2. Atakayeendeleza rasilimali watu kwa kuhakikisha wanapata huduma bora za Kijamii kama afya,elimu nk.
Hii ni pamoja na kurekebisha mfumo wa elimu tulionao kwa kuweka mtaala mahsusi unaolenga kutotoa wahitimu wenye elimu na marina ya kuwawezesha kujimudu kiuchumi na kitaaluma.
3. Atakayeendesha siasa safi inayoendana na matakwa ya demokrasia ya vyama vingi. Hii inahusisha kuruhusu mawazo mbadala kutolewa na watu anaowaongoza, ikiwa ni pamoja na kutoa uhuru wa vyombo vya habari kukosoa,kushauri na kushiriki kikamilifu katika kazi za za uandishi wa habari bila kubughudhiwa.
Kubwa zaidi kwenye hili ni kupata katiba mpya inayozingatia kwa kiasi kikubwa, naomi yaliyotolewa na wananchi kwenye iliyokuwa tume ya Warioba.
4. Uongozi nora utatokana na sisi wapiga kura kwa kuchagua mgombea atakayekidhi vigezo vote vilivyopo hapo juu.
Je, wewe Kira yako ingeenda kwa mgombea mwenye sifa zipi?