..Je mgombea aliyetoa hiyo rushwa ataruhusiwa kuendelea na kampeni.
Watu hatufikirii ya kesho na kesho kutwa tunawaza ya leo tu, ni kweli kwa maisha ya kijijini ukiziangalia euro 1000 utafikiri ni nyingi lakini ukianza kuzitumia hazimalizi hata wiki. Kama ulivyosema utu wake keshauza na watu hawatamwamini tena kama walivyokuwa, kweli njaa mwanaharamu.yaani mtu unajivua utu wako kwa Euro 1000! anajua amekata matumaini ya watanzania wangapi kwa kiwango hicho kidogo cha pesa?
kweli kwetu njaa itatumaliza
yaani mtu unajivua utu wako kwa Euro 1000!
Mimi huwa siwafagilii kabisa wanaopita bila kupingwa kwa sabau yeyote ile, nasikia huko Iringa wagombea wa NCCR karibu majimbo matatu walijitoa kwa mkupuo mmoja na kuacha majimbo matano yakiwa na wagombea wa chama kimoja pekee.Alafu wanajinadi wanapita bila kupingwa kumbe kuna ishu nyuma ya pazia dahh huyu wale kichwa kabisa
Ninaweza kuhisi harakati gani zinafanyika nyuma uya mapazia sasa hivi: Takukuru watajaribu kupindisha ukweli huo watasema huyo Mkono hakutoa hizo hela na hakutuma mtu yoyote aliyetoa -- kwa maana kwamba ni watendaji wa CCM mkoani/wilayani ndo walotoa. Baadhi ya hawa watakamatwa "kuhojiwa" lakini baadaye wataachiwa na kusema kwamba ushahidi ni mgumu kujua nani aliyetoa.
Hapo fisadi Nimrod atakuwa amesevu na kupeta. Huyo mpokeaji wa Chadema naye atajazwa mapesa na kuambiwa aseme hajui ni mtu gani hasa aliyemmpa hela hizo.
Mimi nawaona wote wapumbavu tu uwe umepewa buku 2 au euro 1000 kwa vile wote wameuza utu, utu ni utu hakuna utu expensive kuzidi utu wa mwingine. Utu wa Billgate anayelala kwenye nyumba nzuri ni sawa na utu wa mmasai anayelala kwenye kichuguu.Bora ya huyo angalau kala nyingi hawa wanao pewa buku 2 na 5 je?
Mimi huwa siwafagilii kabisa wanaopita bila kupingwa kwa sabau yeyote ile, nasikia huko Iringa wagombea wa NCCR karibu majimbo matatu walijitoa kwa mkupuo mmoja na kuacha majimbo matano yakiwa na wagombea wa chama kimoja pekee.
Kama nchi yetu ingekuwa na utawala wa sheria ukifuatilia lazima kutakuwa na mkono wa mtu, na hii ni kudumaza demokrasia na kutowatendea haki wananchi wa majimbo husika kwa vile watakuwa hawana choice nyingine zaidi ya kumkubali aliyewekwa pale kwa just 2mil. au kuhongwa RAV4 kama tunavyosikia.
Bora ya huyo angalau kala nyingi hawa wanao pewa buku 2 na 5 je?
]yaani mtu unajivua utu wako kwa Euro 1000! anajua amekata matumaini ya watanzania wangapi kwa kiwango hicho kidogo cha pesa?
[/B]
kweli kwetu njaa itatumaliza