Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Musoma Vijijini, Michael Makenji, anashikiwa na Takukuru kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Euro 1,000 (Sh. 1,850,000) kisha kujitoa katika kinyanganyiro hicho.
Soma HAPA kwa habari zaidi.
My take: Kama tuhuma hizi ni za kweli na ikathibitika kweli amepokea kama alivyokiri mwenyewe tena kwa maandishi, Je mgombea aliyetoa hiyo rushwa ataruhusiwa kuendelea na kampeni.
Wasiliana na vyama husikaWakuu naomba msaada wa wapi naweza kupata ilani ya CCM na CHADEMA.
Ofisi za CCM makao makuu zipo mtaa wa Lumumba ukifika hapo we ulizia kama Makamba yupo msalimie sana ni mshikaji wangu na ofisi za Chadema zipo Kinondoni mtaa wa Ufipa namba ya nyumba ndio sikumbuki msalimie sana Lissu mwambie tusisahauliane, thanx see u next.Wakuu naomba msaada wa wapi naweza kupata ilani ya CCM na CHADEMA.
Huyu jamaa namjua anaitwa Ben Kapwani, mara nyingi hujiita Dr. Kapwani. Ni RMA (Mganga Msaidizi Viijijini) mzoefu na hapendi hili lijulikane, mtaalam wa kughushi. Nahisi wanaomjua wamemwambia ukirudisha fomu tunaweka pingamizi la wasifu wako na hautopita, la sivyo chukua chako mapema. The issue was so delicate to him. CHADEMA fanyeni screening kujua wanaopata uongozi wana sifa stahiki. Poleni wana isimani, subirini wakati ujao chama kitawatafutia mbadala
Huyu ni yule mwenyekiti wa Chadema akihutubia nyasi baada ya kukisaliti chama na kujiunga na vyama 12 hapa alikuwa nazindua kampeni lakini matokeo yake hata watu 100 hawakufika siku ya uzinduzi, na inasemekana sasa hivi ana gari jipya anatembelea sijui kapewa takrima tunaomba TAKUKURU wafike hapo Iringa wamchunguze huyu mwenyekiti za zamani wa chadema.