Wana JF,
Nadhani bila shaka mwaka 2016 kutakuwa na Wabunge wengi sana pale Mjengoni watakao ingia kwa tiketi hii ya " Mgombea Binafsi " bila shakaaaa !
Wale wooote watakaozinguliwa na ile mizengwe yetu ya chama kutokana na makundi na kutoswa kura za maoni basi njia nzuri ya kuwakilisha jimbo imepatikana ni Mgombea Binafsi tu !
CCM ijiangalie sanaaa....
The Fixer,
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums